Adverts

Apr 24, 2011

BARABARA ZETU TUNA MADARAJA KAMA HAYA

Hili ni Daraja linalopitiwa na barabara inayounganisha eneo la Mpemba na Ileje bado katika barabara kubwa inayounganisha wilaya inatumia madaraja haya ya hadhi za vijiji- madaraja ya Mbao wakati marabara hiyo ipo kwenye hadhi ya mkoa.