Adverts

Apr 24, 2011

MBOZI NA MCHAKATO WA MAENDELEO

Baadhi ya wakuu wa idara kutoka halmashauri ya wilaya ya Mbozi wakifuatilia moja ya vikao vya kujadili mipango ya maendeleo ya halmashauri hiyo kabla ya kuwasilisha bajeti yao kwa madiwani.