Adverts

Apr 25, 2011

BONANZA LA JANA BADO WATU WAENDELEA KUVUNJA KAMATI HADI LEO


 Hivi dakika chache hali ipo hivi katika uwanja uliotumika jana kwaajili ya bonanza lililohusisha mikoa ya Mbeya na Njoruma jana, watu wameendelea kuselebuka mpaka dakika hizi kama inavyoonekana magari yalivyoshona.

 Nyama choma samaki choma bado vinaendelea watu wakiendelea kujichana mwendo mdundo, ukizikamata zitumie zikuzoee, kujenga ni dalili ya woga wa maisha- ndiyo ujumbe wa bonanza la jana, ukikopa akija kukudai kopa tena, ukiona kazidi kudai sepaaaaaa!!!!!!!!!!!
 Wadau wakiendelea kujiachia mchana huu katika viwanja hivyo ingawa hakuna mechi za mpira tena lakini vinywaji na kula kunywa vinaendelea.
Eee kwakuwa eneo hilo limezungukwa na mashamba ya mahindi, ujumbe huu ni muhimu manake watu wanatoka wawili wawili wanaelekea kwenye mahindi, kinachoendelea huko ni fiesta tupu, bora tuwahami kwa kuwapa ujumbe huu.