Adverts

Apr 25, 2011

ILEJE HALI YA MATUMAINI YAANZA KUREJEA

 Huduma za maji wilayani Ileje zimeanza kuimarishwa kama inavyoonekana maji mita mbili kutoka kwenye nyumba ingawa uhakika wa kutoka wakati  wote ni jambo lisilo la hakika sana hiki ni kijiji cha Ndola
Hapa ni Jengo linalotumiwa na kikundi cha walemavu kama karakana yao ya kushonea baada ya vyama vya ushirika kushindwa kuendesha shughuli zake, lilikuwa jengo la kuhifadhia nafaka enzi za ushirika ni katikati ya mji wa Ileje.
Jengo la Polisi ambalo limetelekezwa kutokana na uchakavu na sasa anaishi mtu mmoja mwenye matatizo ya akili, mwenyewe kachora chora mlangoni kwa mikaa  lipo karibu kabisa na mahakama ya Ileje likitazamana na ofisi za mtendaji kijiji cha Itumba. Ileje Mjini.