Adverts

Apr 1, 2011

DOGO JAFARI a.k.a "BABU MDOGO" ANDELEA KUTOA DOZI YA KIKOMBE JIJINI MBEYA LEO

Huyu ndie Kijana Jafari Ambae yeye anatoa Dawa ya kutibu magonjwa Sugu Bure bila malipo yoyote
Umati wa wagonjwa wakingoja kupata Dawa kwa kijana Jafari
Wananchi Mbali mbali wakiwa wanataka kuingia kupata Dawa na wengine wakiwa wanakunywa dawa hiyo. Mazingira ya Kutolea dawa ndio kama mnavyo yaona.
Kama basi linavyo someka hapo linafanya safari za Mbalizi Ifisi lakini kutokana na kijana Jafari yote yanaelekea hoko ambako hata sio Njia yake
"