*POROFESA SAFARI AIPA KISOGO CUF NA KUJIUNGA NA CHADEMA: "
Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe (kulia) akimkabidhi kadi ya chama hicho, Profesa Abdallah Safari, aliyekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, aliyejiunga na Chama hicho, wakati wa mkutano na waandishi wa habari wa kumtangaza rasmi uliofanyika kwenye Ofisi za Chadema Kinondoni leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Willbroad Slaa. Show all Hide all
Mbowe akisaini kadi hiyo ya Safari kabla ya kumkabidhi rasmi, wakati wa hafla hiyo.

"