Adverts

Apr 26, 2011

HII NI NCHI YA AHADI ALIYOIWEKA BWANA

Mkulima siku zote hufurahia maisha pale anapoona mazao aliyoyapanda shambani yanakua vyema, Mfanyabiashara hufurahia pale bidhaa zake zinapotoka/uzwa kwa bei inayomlipa na kumwingizia faida, Msomi je anafurahia wakati upi?