Adverts

Apr 26, 2011

SIAMINI KAMA URITHI WA MTOTO KWA SASA NI ELIMU

Naomba nianzeshe mjadala, urithi wa mtoto ni elimu kweli? na je urithi ni nini? mie mwanangu namrithisha mashamba ya karanga ashindwe mwenyewe, elimu naona inaanza kuwa ghali kuliko spidi ya maisha tunayoenda nayo!!!!!!!!!!!!!!!nang'atuka kama siyo kujivua gamba!!