Mh Diwani wa Mji wa Tunduma Frank Mwakajoka akizungumza na Press katika moja ya shughuli zilizofanyika katika mji wa Tunduma leo mchana.
Hapa wengine wanacheza staili ya Mgongo mgongo na wengine sijui ndo mwanzo wa kupoteza matumaini?
Aah hapa haihitaji maelezo nimenuna ile ile !!!!!!!!!!!
Dogo pombe nomaaaaaaaaaa, nimekunywa bado zimo kando ya midomo yangu
Hapa namix madawa kuanzia fegi, bia, na komoni kwenye chupa vyote vinakwenda kwenye kinywa kimoja!!!
Sasa hii wasomaji wangu naomba msaada wa kutafsiri ni nini hiii?????