Adverts

Apr 25, 2011

MBWEMBWE ZA MAOPARETA WA MITAMBO HII VIJIJINI

Nilidhani kuna bomoa bomoa kumbe vijana wanafundishana kutumia mitambo hii ya ujenzi wa barabara, mashine zilizoegeshwa kwennye makazi ya watu katika kijiji cha IWIJI