Adverts

Apr 25, 2011

SHULE ZA KATA TUNASAFIRI KILOMETA 10 HADI SHULENI

Wanafunzi wa shule ya sekondari iliyopo kando kando ya barabara ya Mbeya-Ileje wakiwa nhiani kurejea makwao baada ya kumaliza vipindi vya siku.