Adverts

Apr 25, 2011

UBWABWA UNAOKULA NI MATOKEO YA SHUGHULI HIZI

Shamba dogo la mpunga kando kando mwa barabara ya Mpemba-Ileje, mama akiwa anafanya shughuli kando ya shamba hilo huku mwanaye akionekana kukata tamaa manake anataka ubwabwa ambao haujakomaa shambani