Adverts

May 14, 2011

AJALI YA PIKI PIKI BARABARA YA MPEMBA -ILEJE


Dereva wa MSD ambaye amevaa dust coat akiwa kando ya mtu aliyemgonga baada ya kuseleleka kutoka kwenye piki piki yake na kujigonga mbele ya roli hilo lililokuwa likipeleka dawa wilayani Ileje

Piki piki haikupata madhara yoyoye na iliendelea kuwa katika moto baada ya ajali hiyo ni takribani dakika moja toka ajali itokee picha hii ilichukuliwa


Picha hii ilichukuliwa nikiwa kwenye basi  pikipiki ikiendelea kuchimba chini baada ya kumwangusha mwendeshaji wake

Hapa majeruhi akipewa msaada kubebwa na kuingizwa kwenye roli hapa chini tayari kupelekwa hospitali ya wilaya Ileje

Hili ndilo lori lililobeba msala baada ya kumgonga mwendesha piki piki ingawa chanzo aliserereka na pikipiki na kubingirika kuelekea liliko gari na hatimaye kupata majeraha mguuni na kichwani, hata hivyo taarifa zinaeleza alifariki siku moja baada ya ajali hiyo.