Adverts

May 14, 2011

BONANZA LA MASHABIKI WA TIMU ZA NJE LILIINGIA MADOA HAPA

Mashabiki wa ASENAL badala ya kushangilia michezo wakaja na staili za kushambulia vyama vya siasa, Bonaza  likapoteza ladha kabisaaa