Adverts

May 7, 2011

HAPA NA PALE MKOANI MBEYA

Mpiga picha katika kampuni yangu ya INDABA PRODUCTION bwana Hamis Mtoni akiwa katika moja ya kazi za kutengeneza Documentary katika maandalizi ya mwenge wa Uhuru unaowashwa mkoani MBEYA mwaka 2011.

Bango la Baraza la Mazingira Tanzania NEMC likiwa limebwaga manyanga kando kando mwa barabaya ya Sinde kwenda Sabasaba ambako ndiko ofisi za Baraza hilo ziko

Hapa ndipo makao makuu ya mamlaka ya maji  Mbeya

Hotel hii ni ya siku nyingi jijini Mbeya inaitwa Rift Valley, ipo makutano ya barabara  ya Chunya, Karume Road, Jamatin Road na Sinde road.