Adverts

May 7, 2011

SIKU MMILIKI WA BLOG ALIVYOPATA KUWA MFANYAKAZI BORA

Mmiliki wa  BLOG akishikwa mkono wa pongezi pamoja na kukabidhiwa cheti pamoja na hundi  yenye taslimu ndani yake kwa kuwa mfanyakazi bora wa Idara mojawapo katika wilaya ya Mbozi, hapo ilikuwa Mei Mosi 2011

Mama Tweve aka mama wife akinipongeza kwenye sherehe hizo za Mei mosi mara baada ya kupata hizo zawadi zake, ujue mama ana mchango mkubwa katika ufanisi wa kazi zao za kila siku!!! ahsante Mama Christian kwa kuniwezesha hadi kufikia hatua hii
Hapa mmiliki wa Blog akiwa na wadau wa mtandao huo wakiwa kwenye viwanja vya Maonyesho kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei Mosi 2011.