Adverts

May 20, 2011

INDABA AFRICA BLOG YAUNGANA NA WADAU WA MAKETE KUTANGAZA UTALII

Sehemu ya Mbuga ya Kitulo ambalo ni eneo adhimu duniani kutokana na kuwa na aina nyingi za maua na pia ndilo eneo ambalo ndege kutoa pembe moja ya dunia husafiri na kutua hapo na kisha kwenda pembe nyingine kulingana na majira ya mwaka


Mdau mwanaharakati kutoka wilayani Makete Jackson Mbogela mmoja wa wachangiaji watarajiwa katika blog hii kuhusiana na fulsa za Utalii wilayani MAKETE ambazo sasa zinaweza kuwa suluhu ya Kiuchumi kwa wananchi wake ikiwa zitapewa msukumo kuzitangaza na kuondoa vikwazo vya kimawasiliano, kimiundombinu na kisiasa.

Moja ya mazao yanayostawi vyema makete , hii ni Ngano