Adverts

May 17, 2011

KILA SIKU MBOZI NI KUPART TU!!! KARIBU SANA MBOZI

Wadau wakiwa kupariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Pia huwa tunafundisha coockeryyyyyyyy siku kama hizi

Ahh Mgongo mgongo ndiyo balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Kuku nao wanalalamika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tupo pamoja sana, mipaja imeegamiana tuuuuuuuuuuu

Sasa tunaanza kwa kiduku halafu tunamaliza kwa alajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii