Adverts

May 16, 2011

MASHINDANDO YA UMISETA MBOZI YAZINDULIWA KWA MBWEMBWE


 Mwenyekiti wa wakuu wa shule za sekondari Mkoa wa Mbeya Bwana Changalima akiwasili kwenye uzinduzi wa mashindano hayo yanayoshirikisha shule 67 za sekondari wilayani Mbozi



 Afisa elimu Sekondari wilayani Mbozi bwana Isaac Mgaya akifungua mashindano hayo  katika viwanja vya shule ya sekondari ya Vwawa









PICHA ZOTE NA MDAU WA BLOG HII MAC MPONZI KUTOKA SPACE 2000 PRODUCTION