Adverts

May 7, 2011

KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA MKULIMA NI ENEO MUHIMU WILAYANI MBOZI

Mkuu wa wilaya ya Mbozi Gabriel Kimollo akiangalia moja ya mashine zinazotumika kusindika maziwa wilayani Mbozi na hapa chini ni sehemu ya bidhaa za maziwa zinazozalishwa na viwanda vidogo wilayani Mbozi