Adverts

May 7, 2011

WATU WANAPOTULIA KUFUATILIA HOTUBA

Mdau wa Blog hii Mh Karuta Ismail- Hakimu wilayani Mbozi akifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa wilaya ya Mbozi, Bwana Karuta pia alikuwa miongoni mwa wafanyakazi Bora kwa mwaka 2011  kutoka idara ya Mahakama wilayani humo baada ya kufikia malengo na kupunguza msongamano wa kesi katika idara yake.

Bwana Emmanuel Elsafy Kweka akiwa katika story na mmiliki wa mtandao huu hapo katikati kwenye maadhimisho ya Mei Mosi wilayani Mbozi, jamani naipenda Mbozi kama nini