Adverts

May 19, 2011

MAZINGIRA YA KUSOMEA NDIYO HAYA TUTEGEMEE ONE?

Wanafunzi wa shule ya msingi ya Hamwelo wakiwa kwenye dirisha la mviringo ambalo mwanafunzi akizidiwa hasa mwalimu siku hiyo akiingia na stiki basi anachomoka moja kwamoja nje!!!!!!

Hapa ni shule ya msingi ya Ntungwa wilayani Mbozi ambako pia hali ni kama hivyo tena sakafuni ndiyo utaratibu wetu wa kawaida.
Picha zote na Rashid Mkwinda