Adverts

May 21, 2011

MEDIA NETWORK ON CHILD RIGHTS HUKO ZAMBIA

Mtandao wa MTC huko Zambia kwa kushirikiana na kituo cha Televisheni cha Muvi TV wanaendesha program za mafunzo kwa watoto kuweza kujieleza, kujenga hoja mbele ya vyombo vya habari kama maandalizi ya viongozi, wanaharakati na wazoefu wa kuwasilisha mambo tangu katika umri wao wa utoto.