Adverts

May 18, 2011

MKULIMA HUYU SASA AWA MWALIMU WA UFUGAJI WA SAMAKI MKOA WA MBEYA

Mkazi wa kijiji cha Igamba bwana Maholane Mwamlima amekuwa shamba darasa la wakulima wengine wanaokusudia kuingia kwenye miradi ya ufugaji samaki ambapo wastani wa wakulima 30 kila wiki wamekuwa wakifika kwake kujifunza