Adverts

May 18, 2011

ITAKA NAKO KUNAVUTIA BAADA YA HUDUMA ZA AFYA KUIMARISHWA


Kituo cha afya cha Itaka kimeanza kutoa huduma kwa wananchi wa eneo hilo hatua ambayo inawezesha sasa wananchi kupunguza gharama za matibabu hasa zinazotokana na nauli ya kufuata  huduma hizo kwenye hospitali ya wilaya hata kwa magonjwa madogo madogo