Adverts

May 18, 2011

UPANDAJI WA MITI MBOZI WAZIDI KUWA MAZOEA

Bustani ya Halmashauri ya wilaya ya MBOZI iliyopo eneo la Mlowo ambayo huzalisha kiasi kikubwa cha miche kila mwaka kwaajili ya wananchi wake