Adverts

May 1, 2011

MWENYEKITI MPYA WA MPC APONGEZWA NA NAIBU WAZIRI MWAKYEMBE

Mwenyekiti wa Mbeya Press akizungumza na wanahabari baada ya kuchaguliwa, na dakika chache akatangaza kutokuwa na imani na katibu wake aliyeko upande wa kulia kwake hatua ambayo ilimlazimu katibu kujivua gamba kwa kujiuzuru.
Naibu waziri wa Ujenzi Dr Harrison Mwakyembe akimpa mkono wa pongezi Bwana Nyenyembe dakika chache baada ya kutoka kwenye chumba cha Uchaguzi. hii ilikuwa katika hoteli ya Mbeya Paradise ambako pia naibu waziri alifanya mkutano na wandishi wa habari juu ya ziara yake ya kukagua miradi ya ujenzi katika mikoa mbalimbali ambayo ameimalizia mkoani mbeya