Adverts

May 2, 2011

RUDOVICK UTTOH ATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA WANAHABARI

from FULL SHANGWE

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali zilizochapishwa hivi karibuni katika vyombo vya habari. (kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanesco William Mhando. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh (mwenye suti) akizungumza na Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha CUF Julius Itatiro katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo baada ya CAG Ludovick Utouh kutoa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizochapishwa hivi karibuni katiak vyombo vya habari. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali jijini Dar es salaam wakisikiliza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti zake zilizochapishwa hivi karibuni katika vyombo vya habari. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.