Adverts

May 12, 2011

SEHEMU YA UTAJIRI ULIOPO WILAYANI MBOZI AMBAO WANANCHI WAKE HAWANUFAIKI NAO

Haya ni mawe yanayotumika kutengeneza maru maru na samani za ndani zinazouzwa kwa dolare kubwa lakini wananchi wa  Mbozi wanaendelea kuangalia tu mawe haya yanavyopakizwa na kuondoka pasi kunufaika vyema na raslimali hizi za asili Hapa ni Ng'ambo ya mto Songwe kwa upande wa Mbozi panaitwa NANYALA