Adverts

May 22, 2011

UTAFITI MWINGINE WA ARI YA WALIMU KUFUNDISHA NA MAPOKEO YA WANAFUNZI SEKONDARI WAENDELEA

Mwalimu akishiriki katika utafiti unaoendelea katika mikoa mbalimbali nchini juu ya vikwazo na mafanikio ya sekta ya elimu na mazingira ya utoaji elimu katika shule za sekondari ambapo sampuli zinazhusisha shule za sekondari Binafsi, za serikali na zile za Kata.