Adverts

May 22, 2011

KENETH NDINGO ALETA BIDHAA YA POWERTILLER MOJA KWA MOJA KUTOKA CHINA

Sasa kilio cha bei za Power Tiller kutofautiana kutoka halmashauri moja na nyingine huendaa sasa kikaisha na Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali akapunguza hoja kwa halmashauri baada ya Mmoja wa wadau wa kilimo kwanza Keneth Ndingo kuingiza Powertilla kutoka China ambazo zinaendana na mahitaji ya ardhi ya mikoa ya nyanda za juu kusini.