Adverts

May 22, 2011

MAKETE PLATFORM WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA WILAYA YAO


Wadau wa maendeleo kutoka wilaya ya Makete waishio maeneo mbalimbali nchini wamejijengea utaratibu wa kukutana mara kwa mara kujadili shughuli za maendeleo , hapa wakiwa katika moja ya vikao vyao.