Adverts

May 22, 2011

KYELA BWANA ENEO LA UTALII

 Bidhaa zinazozalishwa kando kando mwa ziwa Nyasa zikiwa tayari kusafirishwa ndani na nje ya mkoa wa Mbeya kwaajili ya mauzo, Takwimu zinaonyesha ufinyanzi wa vyungu katika mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma huwaingizia wananchi wake mapato yanayokadiriwa kufikia Bilion 2 kwa mwaka, hata hivyo bidhaa hizi bado hazijapewa nafasi sana katika ofisi za serikali kama mapambo na badala yake kung'ang'ania bidhaa (vyungu)za mapambo kutoka china.