MFANYABIASHARA MMOJA WA KIASIA MKOANI HAPA AMELIZWA SHILINGI MILION 50 ZA KITANZANIA BAADA YA AKINA DADA WAWILI WALIOFIKA KUBADILISHA FEDHA HIZO (DOLA ZA KIMAREKANI KWA PESA ZA MADAFU) KUMFANYIA MCHEZO MCHAFU DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA. WATU HAO WALIFIKA KWA MGUU BAADA YA KUTELEKEZA GARI LAO AINA YA NADIA MBALI KIDOGO LAKINI LIKIWA SILENCE NA BAADAYE WALIPOSHTUKIWA WAKIWA TAYARI NA FEDHA MIKONONI WALITOWEKA MBIO NA KUTOKOMEA.