![]() |
Watuhumiwa wa mauaji ya John Mwankenja wakiwa mahakamani |
![]() |
SMG iliyotumika kufanya mauaji ya Mwankenja baada ya kuopolewa kutoka mafichoni ilikohifadhiwa |
![]() |
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akizungumza na wanahabari baada ya kufanikiwa kukamata mashine iliyotumika kwenye mauaji |
![]() |
Watuhumiwa wakiwa kwenye lidefenda la polisi kwenda sero baada ya kusomewa mashitaka |