Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Adverts
Jun 5, 2011
KIWIRA MJI AMBAO UPO BUSY KWA BIDHAA YA VYAKULA
Hapa ndipo Kiwira kwa Mwankenja kama panapojulikana, hapa hata kama unataka spare ya Ndege enzi hizo huwezi kukosa ni vijana wa dili tu!!!
Hapa tughulisha bei!! ni mambo ya ndizi, mananasi na maparachihi!!!! lakini pia nyama katika eneo hili inaaminika kuwa nzuri kuliko eneo lolote mkoani Mbeya na huuzwa kwa bei ya chini mno!. Thanks God hii ni nchi ya neema