Adverts

Jun 5, 2011

UMEWAHI SIKIA MKUNGU WA NDIZI UNAUZWA SHILINGI MIA TANO?

Zote Mia zote mia ndivyo inavyojulikana eneo hilo ambapo ndizi huuzwa bei ndogo sana! Hapa ni Kiwira pembeni kidogo kwenye makazi ya akina Mwaibale na akina Mwambande! Thanks god matunda aina hii hapa ni neema tupu!