Ofisi ya Shughuli za Kudhibiti UKIMWI katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi ilitambua umuhimu wa kuandaa mafunzo kwa kundi la walemavu ambao ni wahanga wakubwa hivi sasa wa kasi ya maambukizi ya VVU na UKIMWI kutokana na jamii kukimbilia kwa kundi hilo kutokana na imani mbalimbali zikiwemo kuamini kuwa wao hawafuatiliwi na watu wengi, ama wao ni sehemu ya kujitakasa ukiwa na maambukizi!!!! |