| Bwana Ahokeki Mbapila akiwa na mkewe pamoja na watoto wao wawili Nancy na Joan nyumbani kwao eneo la Mwenge wilayani Mbozi jana jioni |
| Ilikuwa furaha kwa Bwana Mbapila kuungana na familia yake |
| MAMA Mbapila akiwa amemshikilia Joan |
| Siku hii cha kufurahisha pia ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mama Mbapila ama mama Nancy na Joah happy birthday yake!!!! |
| Mwanangu pokea busu hili ulikumbuke na ninathibitisha kuwa ninawapenda wanangu! ndivyo jirani yangu bwana Mbapila akiwaeleza Nancy na Joan |