![]() |
| DED wa wilaya ya Rungwe akifuatilia maelezo ya wataalamu wa walter reed katika ukumbi wa JM Hotel Jana |
![]() |
| Washiriki wakifuatilia kwa karibu majadiliano |
![]() |
| Wataalamu kutoka Walter Reed Program |
![]() |
| Timu kutoka wilaya ya MBOZI ikiwa imeanisha baadhi ya masuala yanayokubalika katika utekeelezaji wa program hiyo kulingana na mila, utamadauni na mazingira zya wilaya hiyo |





