![]() |
| Picha ya Mzee wetu Marehemu Dunstan Lugagile Mtitu Mgani ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 61 |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukiwa mbele ya familia na waombolezaji wengine kwenye kanisa la ANGLICAN la Mtakatifu Andrew mjini Njombe |
![]() |
| Familia ya Marehemu Dunstan Mgani ikiwa imelizunguka jeneza kabla ya kuelekea makaburini eneo la Mji mwema kwaajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu kwa pumziko la milele mpaka ufufuo wake. |
![]() |
| Makasisi wa Kanisa Anglican Njombe wakiwa wamelizunguka kaburi kwaajili ya maombi |
![]() |
| Padre Almas ambaye aliongoza ibada ya mazishi akisisitiza jambo kwa watu waliofika kumsindikiza mzee wetu kwenye pumziko la milele |
![]() |
| Askofu wa Kanisa Anglican Njombe pamoja na Canon Mwafute wakiweka shada la maua kwa pamoja kwenye kaburi la mzee Dunstan Mgani juzi mjini Njombe |







