Adverts

Aug 7, 2011

NJOMBE BWANA BARIDI

Msimu huu kwa mji kama Njombe bila Sweta maisha hayaendi! hivi ndivyo ilivyokuwa jana mjini Njombe wakati tukiwa kwenye msiba wa mzee wetu Mgani.