Adverts

Aug 8, 2011

MAJI NI UHAI, NA UHAI LAZIMA MAJI

Mafundi wa mtaani wakichimba kisima cha maji kwa zana duni kama inavyoonekana lakini wamekuwa wakichangia kwa kiwango kikubwa upatikanaji wa huduma za maji mijini, mfano kisima kama hicho kinagharimu shilingi milion 1 hii ni pamoja na kuweka Immesible pump!