Adverts

Aug 8, 2011

MAMBO YA NANE NANE, KILA MTU ANATAKA USHINDI

Katika ile hali ya kuvutia watu kwenye mabanda, wilaya ya Mbozi imekuja na staili ya Ngedere mjini kwa kumleta sijui Tumbili ama ngedere kwenye maonyesho ambapo watu wamekuwa wakimiminika na hasa wanafunzi kuona vimbwanga vyake na bahati nzuri kachangamka huyo! shida moja nikwamba wanapojaa kumshangaa na vibaka wanatumia fulsa hiyo kuwaliza watu!