Adverts

Aug 10, 2011

MERCEDES BENZ NI ZAIDI YA GARI!

Wadau wa Blog hii Frank Kilasi na Sadnes Ngetwa wakiliangalia gari aina ya Mercedes Benz lililoburuzika kwa umbali wa takribani mita 500 lakini likafikia ukomo wake likiwa limeharibika mbele na nyuma huku viti vyake vikiwa salama hivyo kuwawezesha abiria waliokuwa wamefunga mikanda kubakia salama kutokana na kona za gari hilo eneo la abiria kusalimika! kweli nimelikubali hili ni gari la usalama.