Adverts

Sep 18, 2011

BAADA YA MASOKO MAWILI KUUNGUA MBEYA, HAYA NDIYO YANAYOENDELEA

Watoto wakitafuta sarafu eneo lilipoungua soko la Sido Mwanjelwa Mbeya juzi.
Ujenzi ukiendelea eneo lilioungua soko la Sido Mwanjelwa Mbeya.
Baada ya kuunguliwa akina mama wanaendelea kujitafutua riziki pambeni kidogo mwa soko hilo
Chadema ilipotua eneo la ajali ya Mwanjelwa baada ya siku moja moto kuzimwa.
Hatimaye siasa zikandelea kata ya majengo Jijini Mbeya. picha zote kutoka KALULUNGA BLOG