Adverts

Sep 19, 2011

JK AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 66 WA UN

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akisalimiana na Dk. Rachel Mhavile ambaye ni bingwa wa magonjwa ya watoto, alipowasili New York, Marekani juzi, tayari kuhudhuria mkutano 66 wa Umoja wa Mataifa. Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto), baada ya kuwasili nchini Marekani Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwambata wa Jeshi katika ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Kanali Wilbert Ibuge, alipowasili New York, Marekani jana, tayari kuhudhuria mkutano 66 wa Umoja wa Mataifa.