Adverts

Sep 19, 2011

PINDA AKUTANA NA MAMA MARIA NYERERE, BUTIAMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Kasome, wilayani Musoma Vijijini, baada ya kufungua bweni hilo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mara juzi. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili nyumbani kwake, Mwitongo, Butiama akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mara.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)