Adverts

Sep 19, 2011

KASEBA AJIFUA KUMKABILI MTAMBO WA GONGO

Bondia, Japhet Kaseba akifanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo, kambini kwake Mwanyamala, Dar es salaam leo, Kaseba anajiandaa na mpambano na Maneno Osward litakalofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).