Adverts

Sep 19, 2011

SALMA NA WABUNGE WANAWAKE WA JUMUIYA YA MADOLA

Mama SalmaKikwete (kushoto) akishiriki kwenye mkutano wa wabunge wa Jumuiya ya Madola, Dar es Salaam leo Picha ya pamoja kati ya Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMa Mama Salma Kikwete na wabunge wanachama wa chama cha Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola (CWP) kanda ndogo ya Afrika Mashariki waliokwenda kumtembelea katika Taasisi ya WAMA na kuzungumza nao. (Sept. 19, 2011 Dar es Salaam ) Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO. Mama Salma akipokea taarifa ya mkutano huo kutoka kwa Mbunge Beatrice Shelukindo